1. Vitabu vitano vya Torati vinavyoitwa pia "vitabu vya Musa": Mwanzo (Kitabu cha Kwanza cha Musa) Kutoka (Kitabu cha Pili cha Musa) Walawi (Kitabu cha Tatu cha Musa) Hesabu (Kitabu cha Nne cha Musa) Kumbukumbu la Sheria (Kumbukumbu la Torati; Kitabu cha Tano cha Musa)
Kitabu cha pili cha agano la kale ni gani?
Ground Truth Answers: KutokaKutokaKutoka
Prediction: